Huyu mjamaa simwelewi

Una pigo za kikuda we chalii.

Utakuja kupigwa pipe. Unaenda kumderee mwana kuwa ulimlaza manzi yake kwa style kede? Utageuzwa.

Machalii wana shingo. Naona huko dasalale wamekuminyia pigo za kidada, umbea.

Chunga fala wewe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Rafiki yako ndiye mwenye makosa,anajua una mahusiano na mtu fulani na yeye akaona ajiweke hapo hadi akaoa aseee!!

Hata ningekuwa mimi nikikutana nae siku namkumbusha vile nilikuwa namla mke wake...ubaya ubaya tu [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii hatariii, Daaah
 
jifunze kutumia lugha ya kiswahili vizuri
unavosimulia kama unaweelezea wavuta unga au bangi wenzio ambao wako alosto
 
Wanaume wa chuga mna shida ya afya ya akili haswa kwenye suala zima la mapenzi
 
Reactions: 511
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…