Huyu mjamaa simwelewi

yaliyopita yamepita La Quica let it go, sahii mshakuwa wakubwa kuna mambo muache tu yaende zake, jaribu kumuheshimu huyo dada na jamaa yake hata kama ni kweli walizingua lakini huwezi jua kwanini imezuiliwa wewe usiwe mumewe..!!
Ila alichonifanyia sio sawa kwakua nilikua mbali
 
Taifa limejaliwa vijana wangese sana, man up na ukuwe, this is childish
 
Una akili au makamasi mkuu. Then unapata nini sasa hujakua una akili za kitoto
 
Unazingua we mdudu sasa kuna haja gani ya kumwambia hayo na unajua fika tayari ni mkewe?
Tabia za kiduanzi hizo move on kubali kuachilia mambo hata kama uliumia.
Mdudu hajui kua K haina makombo, ni kama sahani ya hotel, ukisha kula inaoshwa alafu mwenzio nae anakulia hiyo sahani!!
 
Ushamba ni zigo kubwa sana
 
Acha watu waendele kufanya maisha we ni mwanaume. Wanaume hatunaga pogo hizo kausha ungekuwa na malengo na huyo mamsii asinge kuacha inaonekana we ulikuwa mzenguaje2 alafu mamamsii ni wengi mzee au kusema hujui
 
Sikuwah kukutan na uandsh m-baya kam huu😃🙃 rudi Facebook jamaa
 
Arusha mna ushamba sana na utoto usioisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…