Huyu mjasiriamali "hana ndugu", inasikitisha sana

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
59,734
Reaction score
140,476
Your browser is not able to display this video.

Haya matangazo ya mavazi yake yamekuwa ya kudhalilisha sana.
Kama sisi haogopi kutukalia uchi basi awaopoge hata ndugu zake?

Baba na mama yake si hawafikiwi na hizi video za X?

Au ndio kusema Aibu Utaona Wewe!!!!!
 
View attachment 3657123
Haya matangazo ya mavazi yake yamekuwa ya kudhalilisha sana.
Kama sisi haogopi kutukalia uchi basi awaopoge hata ndugu zake? Baba na mama yake si hawafikiwi na hizi video za X?

Au ndio kusema Aibu Utaona Wewe!!!!!
sasa unakuta ye ndo analiaha familia 😀😀🙌🏾

au mitaa ndo imemlea ko fresh tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…