Huyu mkaka mbona simuelewi??? nisaidieni mawazo wanajf


like like like like!

Mkuu umesomea mambo ya behaviourism na psycho nini?
 
Mh amina ali...jina lako linanikumbusha Amina Ally mmoja nilisoma naye O'level Kilimanjaro huko miaka hiyo..cjui ndo wewe!
eniwei, ushauri wa kukusaidia sina labda nikusaidie kuchagua gauni la harusi!!
 
Last edited by a moderator:
Mh amina ali...jina lako linanikumbusha Amina Ally mmoja nilisoma naye O'level Kilimanjaro huko miaka hiyo..cjui ndo wewe!
eniwei, ushauri wa kukusaidia sina labda nikusaidie kuchagua gauni la harusi!!

sio mimi hiyo sehemu ulotaja sijawahi kufika wala siijui
 
Last edited by a moderator:
Mwambie kwanza akuhudumie na vijisenti ili kuonyesha mapenzi ya kweli kisha ndio akuwowe.
Wanawake wenzangu acheni kuwa cheap! Kwani mapenzi ya kweli mpaka akuhudumie??It seems ww amina ukihongwa pesa ndo unajua mtu anakupenda kumbe unakosea. Jipende jiheshimu thamini utu na mwili wako,usipende vya dezo!!!!!
 
Unashauriwa vibaya,coz unaonekana ww si wa mapenzi ila unataka huduma..Poor you!
 
Sawa we si kiwete lakini kwa nini unatanguliza pesa kuliko mapenzi ya kweli? Usiweke pesa mbele, kama nia yako ni kusoma mueleze hilo swala uone atakusaidiaje!

Sasa ww unahitaji mpenzi au sponsor?
 
Duh! Mmoja anatangaza njaa mwengine ndoa! Kaazi kwel kwel wote vimeo
 
Duh,

Kama wake watarajiwa wenyewe ndio hawa tutaoa kweli?

Unguja tabia hii ya mwanamke kukujua tu mara anataka kukufanya ATM inaitwa "Hashuo la Mkunguzuo"

LONG LIVE UBACHELOR!!Loh bado nipo nipo saana tu aisee!!
 
Kwa hiyo mapenzi ni mpaka akupe hela??!! Mh wanawake wa siku hizi
 
Like mother like daughter.

Inawezekana mama yko pia alimpimia baba yako hela ndo akampenda.
Inawezekana mama yko kakuuliza " Je anahela"?
 
Last edited by a moderator:
Dada Wewe Unampenda huyo kaka yaani unamapenzi naye kutoka Moyoni au ni kwa sababu amekuahidi atakuoa...?
 
Last edited by a moderator:
Mimi nilidhani huyu mkaka haeleweki baada ya kuanza kumng'ang'ania Amina ile tu kusikia sauti yake....kumbe haeleweki kwa kuwa hatoi mshiko wa maana! duh, I feel sorry for my young Son, maana kama waolewaje wenyewe ndo hawa.....
 
Dada Wewe Unampenda huyo kaka yaani unamapenzi naye kutoka Moyoni au ni kwa sababu amekuahidi atakuoa...?

baada ya kumuona nimempenda sana nanimefanya uchunguzi anaonekana tabia zake sio mbaya na tangu tujuane inakaribia miezi sita sasa, hivi haya ndo maisha ya wapendanao au nikwangu tu? najua wengine wameelewa vibaya
 
maisha yapi? fafanua kidogo basi maana sisi wachangiaji hatuyajui maisha yako

haya maisha ya nakupenda nyingiiii!!! nataka tuwepamoja mpaka kufa kwetu kila siku kubembeleza asitoswe, lakini hakuna msaada wowote wa kimaisha kutoka kwake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…