Hahahaha, ati Jaguar!!..hayo macho yenu hayajui kutazama? hizo number plat za Dubai, na hapo ni U.A.E wala si Kenya, toka lini kenya wanaendeshea RH?!!! Tazama hizo rangi ukutani ni bendera ya wapi? Hapo ni carwash mitaa ya Dubai.
Aiseeee...kama imefikia hatua ya watu kutafuna hata hela za marehemu waziwazi na bado wanatanua mitaani na magari ya kifahari hivyo!...Huyu gamba anahusiska na kampuni inayokusanya rambirambi na kuwapelekea wafiwa; lakini mara nyingi hazifiki kwa walengwa!!
hamna Mkenya anamiliki hiyo gari! leta evidence hii imekataliwa...hate damages the brains,you are the casualty.
mhhhh.....
Minimejikuta natamani kujua hiyo gari ni made ya wapi na kampuni gani, ukubwa wa injini, mwendo kwa saa, imetolewa mwaka gani na nini kimeifanya iwe na bei ghali
aisee jamaa anaitwa nani huyu?
tutabanana humo humo elimradi tufike tu... mimi nampenda huyo mkenya naomba ufikishe ujumbe
we maskini sana unampenda kwa sababu ya gari lake!
mchagaa macho kwenye pesa
siyo. Huyu ni "model" wa bongoSio Ze Mutuz kweli huyu?
Sent from my iPhone using JamiiForums app
Kafanana na Chris Lukosi au ni yeye?
Ha ha ha u made my day.... mimi nitajir sana umaskin ni mwiko
Mrs. Vijisent
Shikamoo eti huyu mkenya anakujaga tanzania?
..Labda ukamtafute Nairobi, Bongo hajagi kabisa huyu baada ya kuambiwa barabara zetu zina mahandaki hivyo gari lake la bei mbaya litaharibika na kumuingiza kwenye hasara kubwa sana.