Huyu Mkongomani Varane apewe muda atakuja kufanya makubwa

mzee onyango akae kwa kutulia tu alafu sjui kwa nn kocha hampangi Duncan nyon jamaa anakaba na anapiga pass za uhakika
Nyoni nashauri akae namba 8 kutawanya mipira kwa namba 9 na 10 na 7 na 11.
Jamaa anajua mpira sio mchezo ila huenda kocha hajamwelewa vizuri.
Yule ni wa kumbebesha mikoba ya Chama
 
Tuna hazina ya mabeki wanne wa mwisho na wote wazuri.
Wawa
Onyango
Kennedi
Inonga.
Akiumia mmoja anaingia mwingine moto ni ule ule.
Hata Nyoni ni kiraka pia anamudu half back 4,Ibrahim Amme aliyetolewa kwa mkopo pia ni moto.
Simba tuipe muda mchache sana vigogo wa Africa wataisoma namba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…