Huyu mkubwa yuko wapi siku hizi?


Mkuu sasa hapa umezidi. Sawa wana takiwa kuchapa kazi ila ukiwa kiongozi ina maanisha wewe ni kazi 24/7 usiwe na social life? Na hata hao viongozi unaosema walikua wana fanya kazi usiku na mchana ni wewe tu ulikua hauoni kwa maana wakati huo kulikua hamna source nyingi za habari. Na hata ukiangalia baadhi ya video na picha za zamani utaona mtu kama Nyerere kwenye tafrija mbali mbali.
 
Swali linajieleza pamoja na picha, naombeni mnisaidie kujua aliko huyu bwana, maana ni siku nyingi sijamsikia wala kumuona kwenye vyombo vya habari,

Hivi yuko hapa nchini??

Bado yupoyupo tu lakini cha zaidi anapanga atokeje baadaye na vitambulisho vya kitaifa Bungeni, anajua kuwa swali bado liko palepale "kuna niiini?"
 

Tafrija alizokuwa akihudhuria Nyerere zilikuwa ni dhifa za Taifa za ugeni toka nje na zinazohusu shughuli za Chama na Serkali tu. Viongozi wa zamani walikuwa hawawazi habari ya kumiliki bendi na kwenda muziki ama bar badala ya kuwatumikia wananchi! Hawa viongozi wa sasa hata Twanga Pepeta wanakwenda! Nasikia Masha pale Rose Garden ana kiti chake maalum! Ukiwa kiongozi inabidi mambo mengine ya starehe u-sacrifice kama kweli unataka kuwatumikia wananchi kikamilifu.
 
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni bwana mdogo siku hizi kakua anajipanga
 

That is asking too much of anyone kusema aache starehe zake. Kuna msemo unaosema "Too much work and no play makes Jack a dull boy". Everybody needs to unwind. Tuangalie utendaji wao wakiwa kazini lakini siyo kuchunguza what they do in their free time. There is a time and place for everything. Life is about balance. Viongozi nao ni binadamu na kuexpect vitu vingine toka kwao uta jidisappoint tu.
 
Swali linajieleza pamoja na picha, naombeni mnisaidie kujua aliko huyu bwana, maana ni siku nyingi sijamsikia wala kumuona kwenye vyombo vya habari,

Hivi yuko hapa nchini??
Acheni uchokozi!
 
Wacha umbeya wewe! Pambafuu Nyambafuu!
Hivi unajua kuwa wewe ndiye mpumbafu, ebu fikiria waziri wako unayelipa kodi akalipwa mshahara, haujamuona, hauulizi!!? kumbuka wakati wa Lyatonga, alikuwa anapita hadi mitaani kusimamia utekelezaji wa maagizo yake, sasa huyu vipi?? Nguruwe mkubwa we
 

Attachments

  • pork.jpg
    5.2 KB · Views: 32
watu amekimbilia majimboni kwaoooooooooooooo!!!!!!!!!!!!!!
 
Hivi unajua kuwa wewe ndiye mpumbafu, ebu fikiria waziri wako unayelipa kodi akalipwa mshahara, haujamuona, hauulizi!!? kumbuka wakati wa Lyatonga, alikuwa anapita hadi mitaani kusimamia utekelezaji wa maagizo yake, sasa huyu vipi?? Nguruwe mkubwa we

duhh mkuu punguza munkari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…