Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
*Mlevi kafiwa na kaka yake akatafuta njia ya kumwambia mke wa kaka yake ili asipate mshituko.*
*Mlevi: shemeji mme wako kakuolea mke wa pili*
*Shemeji: Mungu amlaani afe*
*Mlevi : vijana ingizeni maiti ndani mambo mazuri* [emoji23][emoji23][emoji23][emoji257]
Sent using Jamii Forums mobile app
*Mlevi: shemeji mme wako kakuolea mke wa pili*
*Shemeji: Mungu amlaani afe*
*Mlevi : vijana ingizeni maiti ndani mambo mazuri* [emoji23][emoji23][emoji23][emoji257]
Sent using Jamii Forums mobile app