Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 4,035
- 11,462
Laana ya Shikalo inawatafuna. Muache mdomo. Mwambie Manara Mpira hauchezwa uwanjani na sio mdomoni.Ukiangalia magoli yote aliyofungwa ni mipira ambayo golikipa wa kiwango cha kawaida kabisa asingefungwa. Goli la kwanza alishindwa kuinuka haraka na kujiposition kitendo ambacho siyo kizuri kwa mlinda mlango. La pili ndiyo nilishindwa kujua kama kuna kipa ama shati hapo golini. Mchezaji anapiga mpira, mpira unaambaa usawa wa mikono kipa ananyosha tu mikono juu. Duh GSM wanajua kwakweli wanapowatoa hawa wachezaji.
Golikipa ni mfupi sana kama chupa ya chaiUkiangalia magoli yote aliyofungwa ni mipira ambayo golikipa wa kiwango cha kawaida kabisa asingefungwa. Goli la kwanza alishindwa kuinuka haraka na kujiposition kitendo ambacho siyo kizuri kwa mlinda mlango. La pili ndiyo nilishindwa kujua kama kuna kipa ama shati hapo golini. Mchezaji anapiga mpira, mpira unaambaa usawa wa mikono kipa ananyosha tu mikono juu. Duh GSM wanajua kwakweli wanapowatoa hawa wachezaji.