Huyu mlinda mlango wa Yanga ni kipa kweli? Yanga wameleta kitu gani hiki!

Golikipa wa Yanga ameokoa one vs one 2 pia amecheza vizuri tu......goli la 2 shuti lilipigwa kwa kukatika kama umewahi kuwa golikipa utajua shida ya kudaka hiyo mipira inayokatika.
 
Usijali mkuu bado hamjazoeana atakuwa sawa tu
 
Uko sahih kipa Yuko vzr
 


 
Kipa Yuko saf kaokoa snaa tungepigwa nne. Apo
 
Tuache ujinga shuti lile nani ataweza kudaka? Lile la pili.
La kwanza kipa alitaka kuucheza djuma akaugusa hivyo kipa akaukosa..
Na huku yule jamaa aliyefunga alikuwa free hana mtu wa kumkaba na ulikuwa upande wa kibwana ule.
Hii ndiyo yanga tuliyoitaka. Tumecheza soka zuri kweli nimependa..
 
Golikipa wa Yanga ameokoa one vs one 2 pia amecheza vizuri tu......goli la 2 shuti lilipigwa kwa kukatika kama umewahi kuwa golikipa utajua shida ya kudaka hiyo mipira inayokatika.
Tunaita mizungusho.. Sio rahisi kudaka
 
Kuna watu mmezidi ushamba mno, mtu unacheza rede huku, unajifanya unaujua mpira
 
Si mlisema anadaka mpaka risasi


Dauda aliwaambia kapigwa bao 50 kwa msimu
 
Magoli yote yale mawili ni kukosa mawasiliano na markings mbaya za mabeki.
Kukiwa na kona, yanga wanafungwa kirahisi, sababu ni zilezile.
Goli la Makambo ndiyo goli la maana, kulikuwa hamna jinsi mabeki walifinywa.
 
Kipa wa Zanaco ndo alikuwa bora golini na siyo huyo wa Utopolo? Mnakumbuka jinsi alivyopangua juu ya lango ile michomo miwili ya Djuma?Angekuwa ni kipa wa Uto ile michomo imezama.

Nasema hivyo kwasababu goli la kusawazisha la Zanaco mfungaji alilichop uelekeo ule ule aliokuwa amepiga Djama Shabani,sema kipa wa Zanaco yeye alisevu vizuri.
 
Mashabiki wa Yanga Ni kama Arsenal vile 😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…