Huyu mlinda mlango wa Yanga ni kipa kweli? Yanga wameleta kitu gani hiki!

Mimi ni Simba damu damu nadhani hata ukifuatilia comments zangu utaelewa kuwa mm ni Simba na sio unga unga mwana.

Kwa upande wa goli keeper yanga wamesajili vzr Sana ,yule ni mtu na nusu anaijua kaz yake ,kufungwa hakupimi kuwa keeper ni mbovu ,hata ulaya makeepers wazur wanafumuliwa Sana tu kulingana na magoli yenyewe yalivyo .

Djuma ni mtu Sana yule .
Makambo bado anadai
Kibwana mtu Sana yule dogo
Feisal mtu sana tena sana Ila apunguze kucheza na majukwaa.

Wengine wote wanaobaki ni kawaida Sana tena Sana .

So roho ya yanga kwa sasa ipo kwa kipa ,djuma,kibwana, na feisal ,kazi hapa ni kwa kocha ni namna gan atawatumia ili kuwaambukiza na wengine makali yao.

Yanga ya msimu huu itakuwa timu ngumu sana yenye kuonyesha kandanda Safi.

Kuhusu ubingwa kwa upande wa yanga mm naona bado bado waendelee kujipanga Zaid na kuacha kelele badala ya kuimarisha timu na kuacha Tambo hizo ndizo zinawakost Mara nyingi.

Usajir wa manara nadhan Hilo ndio kosa kubwa la karne ambalo yanga wamelifanya kwa kumwamin jumla jumla yule keba.

Hapa kwa manara muda utaongea zaidi na Zaid ,kuepuka kikombe Cha laana za manara asiaminiwe Sana kuwa et ndie mtu wa kuibomoa Simba ,mtakwama Sana tena Sana .
 
Ule mpira hata kama beki asingeucheza kipa alikuwa haukuti.

Kipa hamna pale labda kama atabarika huko mechi zinazofuata.

Metacha angeokoa ile michomo.
 
Misukure fc kipa wao sio mbaya sana ila nmemwona timing ya cross na mipira ya juu anachangamoto ila chini yupo vizuri
 
Sisi tumekubali Yanga ina watu lakini je hao watu wana akili timamu.........Kikwete aliwaambia wakichukua mchezaji na nyie chukueni wa kwao wao wakachukua Manara.
 
Well saud bro,yule kipa kadaka nyingi mnotena kumbuka kacheza huku kafiwa na baba mzazi

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Golikipa mzuri,goli la kwanza beki hawakukaba mpigaji alikuwa huru.Djuma pia mzuri ni hao 2 tu.

Yanga timu yao hata ikiungana itakuwa si tishio kwa timu za mikoani watazipiga sana Ila kwa Champion mwenyewe Simba na kimataifa bado sana mashindano ya kimataifa yanataka timu iwe tishio kila mchezaji awe na uwezo mkubwa.Yanga ya Akina Mwamnyeto,Farid,Saidoo,Kibwana,Jesus,Mauya,Kaseke ni ya wachezaji wa kawaida siyo tishio.
 
Nonsense
 
Umeongea point sana, Fei Toto ana mpira wa kitoto sana yule kijana na ni tatizo lake la kudumu kucheza na jukwaa. Bila sababu za msingi anazunguka kama pia.
Golikipa wa Yanga ni wa kisasa kabisa na wanaojua mpira watakubaliana nami, I think kucheza huku akiwaza kwenda kumzika baba yake kulichangia kutokuwa vizuri sana.

Viongozi wa Yanga waache mambo ya kukurupuka, kuna mengi wanaweza kujifunza kutoka kwa wenzao wa Simba. Kwa ratiba ya Yanga ilivo hawakuwa na ulazima kwenda kuweka kambi Morocco. Wakati mwingine unaweza kuhoji hata uwezo wao wa akili kimpira.

Kwa ujumla wachezaji wa Yanga ni wazuri sana wangekuwa wabaya kwa maandalizi yalivyo ya hovyo tungepigwa zaidi ya nne.
 
Kwa kipa hata Mimi namtetea ila Yanga bado haijakaa Sawa kwenye kiungo na beki inabidi wapambane
 
Mmeshaanza?!
Baada ya kuwalaumu wachezaji kifuatacho ni kumlaumu Karia na TFF kuwa inaionea yanga!

Utopolo bila kubebwa hakuna timu hapo ila ni genge la wahuni tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…