Huyu mnyama leo nimemuona mjini hapa

Unashindana na mademu kusifia vitu vya wanaume wenzio
Hauwezi kufika bila tamaa. Pia, kama hauna passion n magari hauwezi kumuelewa jamaa. Mshkaji anaijua thamani ya hilo ndinga, kuliona kunampa hamasa. Ila kwa wengine, hilo ni gari tu kama ist. Ninaamini ipo cku tu jamaa atakuja kumiliki new model ya hilo. Maana anajua thamani na pride ya kumiliki chombo brand new kama icho. Ila Wenetu wa kizimkazi, pambaneni mje kununua vits au rava4, maana kwenu gari ni gari tu.
 
Mkuu naona umeandika kwa hisia sana. Nilikuwa namzingua mwana tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…