Mfanyakazi Bora
Member
- Jul 31, 2024
- 11
- 21
Dear Hustler, mi ni mpambanaji mwenzenu mwenye bidii, uthubu na moyo wa kujituma kwa sasa niko Mwanza.
Nimeangaika sana kutafuta kazi sehemu tofauti tofauti bila mafanikio, naomba kama kuna mtu yoyote mwenye connection ya kazi anisaidie
Mbali na kutafuta kazi lakini pia nina mtaji wa 1.2m, nikaribishe msaada wa mawazo kwa mtu yoyote mwenye wazo la biashara ashare na mimi maana nikikaa nayo bila kuizalisha itazidi kupungua
Naomba nielezee kwa ufupi sifa na uzoefu wangu
Sifa Zangu:
Uzoefu wangu ni pamoja na:
– Uendeshaji na usimamizi wa migahawa (Bar manager)
– Usimamizi wa shughuli za ufugaji wa samaki na kilimo (Farm manager/field operator)
– Uuzaji na utangazaji wa huduma za utalii (Marketing and Sales Officer)
Nipo tayari kufanya kazi popote, ndani au nje ya Mwanza, na pia niko wazi kwa fursa yoyote ya biashara. Ikiwa kwa namna yoyote unaweza kunisaidia naomba unisaidie tafadhali
Asante
Mawasiliano: 0621903381

- Umri 27
- Elimu Diploma
- Leseni ya Udereva
- Kuandika na kupungumza kingereza kwa ufasaha
- Uwezo mzuri wa kutumia computer (MS Word, Excel n.k)
- Uwezo mzuri wa kufundishika na kuelewa mambo kwa haraka