Tajiri kanunua mbuzi!
Akamwambia mpishi!
Nyama nusu ipike pilau na nyingine itie kwenye friza!
K ichwa fanya supu na miguu fanya mchuzi chukuchuku!
Ngozi usitupe tutafanya mswala, utumbo pika na ndizi!
Mavi weka kwenye bustani. ni mbolea nzuri
Na mifupa tutawauzia wenye mbwa!
Mpishi akamuliza:
Hutaki na sauti ya mbuzi tufanye ring tone kwenye simu yako?