Huyu mrembo ndo story ya town.. Diamond kiboko, pole Zari

BilioneaPATIGOO

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2012
Posts
12,320
Reaction score
11,327
Screenshot_2016-07-27-10-14-18.png
 
Bi sandra anasubiri mjukuu tu hapo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mange ana hasira kweli na Zari, hizi stori anadhani itampunguzia machungu ya TALAKA?! Daimond mwenyewe hajatangaza anaoa yoyote kati ya wengi watajwao sijui kwa nini mama kuwa na mdomo mrefu na mahawara wa mtoto? Uswahili buana, lile dongo la Zari litakuwa lilimyumbisha huyu mama"raised like a qeen", sasa huyu wa mbgala ni kama wa kienyeji vile kuchakura hata kwenye sakafu.
 
divorce inampa uchizi,bora arudi bongo aanze maisha upya
 
Back
Top Bottom