BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,327
Na amechimba "biti" ole wake mtu amsogelee huyu binti...si zari si nani...[emoji23][emoji23][emoji23]Bi sandra anasubiri mjukuu tu hapo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]Mwanaume wa Darussalam kazi kweli kweli :-D =-O
Usjal [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]akimuoa uje utuambie.. mshenga😛
Na huyo binti kashaipata hio hela kwa pregnant hio ya "simba"Wakwe kazi yetu ni kutia ndoa za watoto dosari;
mwambieni huyo mama wazuri ni wengi na wote
wanataka hela ya mwanaye.
Matatizo mama hana shughuli ya kufanya zaidi ya maisha kumhusu mwanae.Wakwe kazi yetu ni kutia ndoa za watoto dosari;
mwambieni huyo mama wazuri ni wengi na wote
wanataka hela ya mwanaye.
We mwanaume mzima badala ya kufanya kazi umekalia umbea w Wanawake kweli nchi hii ina kazi
Mange ana hasira kweli na Zari, hizi stori anadhani itampunguzia machungu ya TALAKA?! Daimond mwenyewe hajatangaza anaoa yoyote kati ya wengi watajwao sijui kwa nini mama kuwa na mdomo mrefu na mahawara wa mtoto? Uswahili buana, lile dongo la Zari litakuwa lilimyumbisha huyu mama"raised like a qeen", sasa huyu wa mbgala ni kama wa kienyeji vile kuchakura hata kwenye sakafu.
Matatizo mama hana shughuli ya kufanya zaidi ya maisha kumhusu mwanae.
Siamini kwa mwanaume alieleta habar hii atakuwa James delicious basi
Zari mwenyewe ninaona ameshajichokea.huyu mama amezidi uswahili sana, kazi kushinda kwenye social media