divorce inampa uchizi,bora arudi bongo aanze maisha upya
Matatizo picha aliyoiweka bongo si Mange yule alivyo. Angerudi hata ile MBA ya Walongalonga ingetambulika na angepewa kazi.
Huyu mange si nilisema diamond hana kizazi , mtoto sio wake yule,
Sasahivi naona kila mimba mjini ni ya diamondMange anahangaika jamani sasa ib kashotoka kumpigia debe hamissa kahamia kwa hichi kitoto ana chuki sana hyu dada
Baba umefuata nini huku? [emoji12] [emoji12]We mwanaume mzima badala ya kufanya kazi umekalia umbea w Wanawake kweli nchi hii ina kazi
Namtetea kuna kina mama kibao wako social media kuwataja wachache hadija koppa, mama hamisa, mama lulu, mawaziri wanawake kibao acha ushamba. Mama Simba upo juuuhuyu mama amezidi uswahili sana, kazi kushinda kwenye social media
Huyo Zari naye bwege....uache watoto na mali za maana kisa diamond!!! Khaaaa mxuuu nampenda Zari though ila sipendi ujinga wake. Zamani she had 'classy'Zari mwenyewe ninaona ameshajichokea.
Kutoka ugumba/hanisi mpk mbebesha mimba maarufu only in TZSasahivi naona kila mimba mjini ni ya diamond
Wanamahaba na Diamond, wanaume na wanawake.Kutoka ugumba/hanisi mpk mbebesha mimba maarufu only in TZ
Namtetea kuna kina mama kibao wako social media kuwataja wachache hadija koppa, mama hamisa, mama lulu, mawaziri wanawake kibao acha ushamba. Mama Simba upo juuu
Kwani na wewe umefata nn huku kama sio mmbeya si ungepita hiviii au ...kwani lazima ufungue kila thread unayoiona [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]We mwanaume mzima badala ya kufanya kazi umekalia umbea w Wanawake kweli nchi hii ina kazi
Wakwe kazi yetu ni kutia ndoa za watoto dosari;
mwambieni huyo mama wazuri ni wengi na wote
wanataka hela ya mwanaye.
Mbona tunamuhukumu huyu mama wakati source yenyewe ni Mange Kimambi?! Hivi si ni Mange huyu huyu ambae last week tu hapa alikomalia issue ya Zuleha kuwa ni mtoto wa Zari hadi alipoumbuliwa na picha za Zuleha na Zari wakati wapo wadogo?!!Matatizo mama hana shughuli ya kufanya zaidi ya maisha kumhusu mwanae.