naisha nasri
Member
- Apr 25, 2016
- 67
- 64
Labda baba yake yupo jf jamani msameheni burepost zingine mnataka kutukanwa tu muanze kulalamika... sasa wewe umeshindwa kumuuliza unaanza kukimbilia JF sasa sisi tuna mawasiliano nae mpaka tukamuulize kwann kaenda hostel..!!!!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Huu upupu peleka kule Facebook maana hata hueleweki unataka nini?!
Eti eeAta mimi nisingekimbilia kwako!!! Sio kwamba nina jambo nakuficha ila najua wazazi watafuatilia nilikimbilia wapi na wakigundua nimehamia kwa boyfriend ntakua nimeongeza chumvi kwenye kidonda.
Kwa hiyo unataka sisi tufanyaje?? Kama humuelewi na sisi hatumuelewi pia kwa maana hatukai naeNipo kwenye mahusiano na mrembo takribani miezi sita hivi.huwa anakuja kwangu nakuspendi nights.Kinachonishangaza sana nikwamba juzi kati amekorofishana na baba ake na ameamua kwenda kukaa na rafiki yake hostel. Hana kazi na wala biashara. Sijajua sababu yakwenda hostel coz at times she depend on me. Sielewi jamani kwa nn ameamua hivi na sitaki kumuacha coz she is so sweet.
Hahaha, dah kwqa hiyo akiwa sweet ndo haachwi?Nipo kwenye mahusiano na mrembo takribani miezi sita hivi.huwa anakuja kwangu nakuspendi nights.Kinachonishangaza sana nikwamba juzi kati amekorofishana na baba ake na ameamua kwenda kukaa na rafiki yake hostel. Hana kazi na wala biashara. Sijajua sababu yakwenda hostel coz at times she depend on me. Sielewi jamani kwa nn ameamua hivi na sitaki kumuacha coz she is so sweet.