She is so sweet! Vp anafaa kuwa mke? Ana malengo nawe ya mda mrefu? Kakorofishana na baba yake umejaribu kupeleleza kosa ni lipi? Na kwann asimuombe msamaha baba yake? Kama kakosana na baba yake kashindwa kujirudi je kwako itakuwaje pindi mkiwa ktk ndoa? Je un malengo ya kumuoa?
Being so sweet sio issue mkuu, atakutia hasara utalazimika kusitisha projects zako za maendeleo ili kumhudumia yeye maana itakuwa too expensive kwa mtu aliye hostel, anyway sijui kipato chako ila wanaume tusilewe na uzuri wa mwanamke ili twende na wakati mbele ya macho ya watu, angalia mwanamke mwenye nidhamu yaanj mtoto wa kike anagombana na baba yake hadi anaamua kuondoa hivi hata huyo ni mwanamke kweli wa kukuweka ndani au wa kuwa nae.....