Huyu mrembo vipiiii, mambo gani haya...

Na wewe mgumu tu kuelewa ..ameuliza mpango upi anataka kujua yafuatayo.

1. Mpango wako ni kula tunda tu na kuondoka zako?
2. Una mpango wa kumuweka ndani kama wife or?
utamalizia
 
Wadada sometimes wanatutega kweli kweli,,
marriage comes automatically, halafu wananikera kweli kutuzungusha muda mrefu at times we need them halafu wanakuja kutukubali na kutupenda sana at time our feelings to them zimeshapungua na tunadate kwa tamaa tu not love kutokana na kutuzungusha sana,, so kama ukipewa tunda tu utangaze ndoa tutaoa wangapi ?
 

unataka ushauri gani? kama miti ushapiga..
 

Anataka kuolewa huyo, hataki kuliwa tunda lake bure bureee
 
mpeleke shule, halafu mpige marufuku tabia ya kukupa tunda kabla ya kufunga ndoa, huo ndio mpango mzima
 
"At the touch of love, everyone becomes a poet." -- PLATO
 

Kwamba ushamega mkate
kwamba anakuuliza unampango gani?

Kama huna mpango wowote naye muweke wazi kuwa nia ilikuwa kumega, kwakuwa umeshamega na lengo lilikuwa hilo mueleze bayana kama vipi mwonyeshe geti la kutokea. kama bado unampango wa kuendelea kumega mpaka itakapofikiriwa tena baadae mwambia muweke sawa tu mbona hao hawasumbui mkishafikia stage hiyo?
 
mbona amekurairishia best amekuuliza unampango gan akitma anamaana kwamba wewe na yeye mtakuwa mnaishia kulana tunda tuu sio lazma mtu kama huyo hanaga mpango wa kuolewa
 
hilo swali niliwai kuulizwa na demu miaka hiyo... lakini kwa tabia yangu ya kutoyapa uzito mambo ambayo mimi huyaita MADOGO...We!kuja kushtuka demu kachukuliwa na mtu aliyemuhaidi kumuoa(aliishia kumchezea tu) Kumbe alitaka nimwambie...NITAKUOA.
 
Kama anataka ndoa si aseme, na ndoa gani inatangazwa kabla hamjajuana vizuri, tunda mara moja...[/QUOTE]
Usiwe mkali sana kaka mlio wengi mnataka tunda na mkipata ndiyo ufahali wenu, ukiambiwa tuoane aaahhh tujuane...hadi lini? kama umependa si uchukue jumla tena wadogo zangu nawaomba msiwape hata hiyo mara moja...mbona wengine akipata mara moja tu amekutosa mwambie akuoe ndiyo umuonyeshe vitu vyako.
 
tabu ni mpango anaotaka. Hasa ukizingatia haeleweki kabisa, inakuwa kama ngoma inaanza upya kubembeleza na sitaki kumpoteza ingawa ni mapema mno.


weka namba yake ya simu hapa tummege halafu tumuulize then tukuletee majibu
 
Unazuga tuuu.....unaelewa sana MPANGO MKAKATI.......But imeshazoeleka kwa an old adage

Men Love for Sex, WOMEN SEX FOR LOVE.....UMEPATA TUNDI SASA UNAMTOSA!!!! NOT FAIR!!!
 
he he he kaka ulionjeshwa sample ya bidhaa yake...imebaki kwako,ununue au uache...kama umemind kitumbua we mdanganye utamuoa
 
he he he kaka ulionjeshwa sample ya bidhaa yake...imebaki kwako,ununue au uache...kama umemind kitumbua we mdanganye utamuoa

Dr. Chichi, nadhani asimdanganye huyo mrembo.Kama keshampenda achukue jumla aweke ndani awe anajilia 'indoor'. Tatizo hapa dem keshatoa tunda hana ujanja tena, alipaswa kuleta hoja yake hyo kabla hajakubali kuonjesha asali yake. Mzee nakushauri wewe usitishwe na swali, kama umependa weka mikakati ya kumiliki jumla, nasubiri kadi nikuchangie harusi.
 
huyo bint inaonekana alishatendwa so anajuwa na wewe itakuwa ni wale wale,tangaza ndoa mkuu kama kweli unampenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…