Mashimba Son
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 1,125
- 1,397
Ngoma inaitwa Peaky blindersHivi huyu mwamba huwa naona picha yake inatumika sana hivi amecheza movie au series gani nahitaji kufahamu View attachment 1723234
[emoji3][emoji3] acha fujoUwape wengine halafu mimi uje unipe good morning![emoji37][emoji37][emoji37]
Series imejaa mastaa wa kiingereza tu yaani kama haupo makink hauwezi jua kama wa venom yupo mule and thd dude from gangs of london(john)
Kabisa, ujumbe umetuliaNimependa huo ujumbe wallah.
Kabisaaah yaanKabisa, ujumbe umetulia
Unaweza amini uyu ndio yule CIA wa kwenye Anna?Na kuna Movie amecheza yeye ni kama Agent wakatumwa Italy kumuua kiongozi wa NAZ walifanikiwa lakini na wenyewe wakauwawa kanisani
Ni true story ilitokea miaka hiyo..!
Labda koona maana hata hii peaky ilichelewa saizi ndio wapo on making season 6Gangs of london naona ndio ikaishia kizembe zembe.
Nipende na mm basi nilie kuletea huu mwingineNimependa huo ujumbe wallah.
Maybe-perhaps [emoji41]There is no resting for me in this world ,mybe the next hahahaha
Sijui nimepatia nilipenda hii clip.
Vzr sanaa. Jamaa kacheza ile series kwa kiwango cha kibabe sanaaa. Huyu jamaa kanifanya naishi kupitia quotations zake ktk maisha yangu ya kila siku.Cillian Murphy.. Katika series ya "Peaky Blinders" ameigiza kama Thomas Shelby
Kaicheki hii bonge moja la series ila uwe makini unaeza usielewe season 1 ila kuendelea ndo ubabe wa iyo peaky blindersAsante mkuu inaonekana ni nzuri