Huyu msanii anaitwa nani

Kaicheki hii bonge moja la series ila uwe makini unaeza usielewe season 1 ila kuendelea ndo ubabe wa iyo peaky blinders
Still maongezi yao ni mazuri sana kusikiliza na kile kiingereza cha 1917 uko
Wenzetu wanazingatia sana kila kitu

Fun fact, kila season wanavuta sigara karibia elfu moja, ila zile sio sigara kama hizi, ni harmless
 
Na kuna Movie amecheza yeye ni kama Agent wakatumwa Italy kumuua kiongozi wa NAZ walifanikiwa lakini na wenyewe wakauwawa kanisani
Ni true story ilitokea miaka hiyo..!
Walikua ni ma askari wa Slovakia walipewa mission kutoka makao makuu yao kwa muda nchini England kwenda kumuua huyo agent wa Naz ndani ya Slovakia ilyokua ikikaliwa na German muda huo...Movie inaitwa "Anthropoid" ni historia ya kweli kipindi cha utawala wa Naz "Operation Anthropoid"...Jamaa walipambana na jeshi la Naz kwa masaa 6 pale kanisani mpaka kifo chao ambapo wengine walijimaliza baada ya kuishiwa silaha.

Mi ni fan mkubwa sana wa Cillian Murphy na Keanu Leeves kwa sasa....jamaa wana act kama kweli hivi halafu movies zao nyingi za kijasiri sana.
 
Jamaa ana trend mpaka nikaamua kumtafuta hata mm
kacheza series inaitwa Peaky blinder
 
Tunamsubili mwaka huu kwenye QUIET place 2 amekichafua humo
 
Moja ya series yangu bora kabsa
Note: kma ndo unaanza tafuta subtitle uweke english ya huko si ya huku st kayumba ina misamiati konk
 
Kaigiza Peaky Blinders, sikuwahi kuielewa au kwavile niliangalia episode nne tu[emoji848]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…