Huyu msanii Jay Melody kwanini video zake huwa peke yake?

Kiukweli huyu dogo ni fundi haswa hasa kwenye utunzi wa nyimbo zake na melod anazo tumia kiufupi bonge moja la msani, ila sasa nimekuwa nikijiuliza, kwanini vidio zake hupenda kuwa mwenyewe tofauti na hawa artist wenzake wa kizazi chake.
Ana depression
 
Anawaepuka wale watakao kuja sema nimempushi mm [emoji16][emoji16] huyo dogo
 
Kiukweli huyu dogo ni fundi haswa hasa kwenye utunzi wa nyimbo zake na melod anazo tumia kiufupi bonge moja la msani, ila sasa nimekuwa nikijiuliza, kwanini vidio zake hupenda kuwa mwenyewe tofauti na hawa artist wenzake wa kizazi chake.
Ni ubunifu wake kazini anaupenda
 
Back
Top Bottom