Bora angemmanage mwenyewe, kuwaachia fisi wengine ni kutafutiana lawama[emoji39] [emoji14]Ndio mwanae huyo!
Ametoa ngoma nyingine inaitwa Lawama hatari sana!
Zamu yenu wadau kumkojoza mwanae kama yeye alivyokua anajisifia kumkojoza Dada eti jide miaka 10
Kwakweli tunatofautiana sana, watu ambao nawaona kweli bado wanafanya muziki kina Chris Brown husikii akitamba kwenye charts zao wala kupata tuzo, kweli magumashi yako kila sehemuKweli kabisa nimesikia album yake imesikilizwa mara 300,000,000 week ya kwanza sasa ikapigwa ngomamoja toka kenye album yani nikabaki aah nini sasa hiki.
Hata mimi Chris Brown namsikiliza hata ngoma yake mpya naipenda, lakini nashangaa hawavunji hata rekodi wala haingizi ngoma kibao kwenye chart. leo naskia drake kaingiza ngoma saba billboard na kavunja rekodi ya michael jackson kwa kuingiza nyimbo 31 billboard mpaka sasa.Kwakweli tunatofautiana sana, watu ambao nawaona kweli bado wanafanya muziki kina Chris Brown husikii akitamba kwenye charts zao wala kupata tuzo, kweli magumashi yako kila sehemu
ukiona hivyo uzee unajongea..nini Drake kuna Migos pumba tupuSahivi unaambiwa kina Drake ndio wanakimbiza kwenye charts mbalimbali lakini ukisikiliza album zao unashikwa na hasira
Kwakweli uzee umetunyemelea, waliozaliwa miaka ya karibu na 2000 wanatushangaa tunavyomkandia DrakeHata mimi Chris Brown namsikiliza hata ngoma yake mpya naipenda, lakini nashangaa hawavunji hata rekodi wala haingizi ngoma kibao kwenye chart. leo naskia drake kaingiza ngoma saba billboard na kavunja rekodi ya michael jackson kwa kuingiza nyimbo 31 billboard mpaka sasa.
Au sisi tumezeeka maana yani nyimbo sizielewi