Hatari si walisema marehemu mnyonyaji kwani mziki wa bongo una maziwa? Jasiri ameumaliza mwendo.Hivi Nenga anaishi Mbezi ipi?
Pididy anajuaga kutuma picha tu...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yaani pdiddy anazeeka na ujjinga wake too bad !!
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Alimleta ili kanisa tulijenge na bado akamlaza muumini kifo cha mende.