Huyu msanii Nacha mbona anaimba vitu serious sana. Je, kafanikiwa kuishi robo ya anachokiimba?

mwanyaluke

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2015
Posts
704
Reaction score
2,435
Nipo njiani from tunduru nachapa gia , Dereva wangu anacheza nyimbo za hip hop ,

Kilichonishitua ni huyu msani anaitwa NACHA aisee Kila nyimbo yake anaimba vitu serious Sana,

Kwa wale mnaofahamu je anaishi anachokiimba kama alivyokuwa msanii Bora wa muda wote wa bongo flour Albert Mangwair alikuwa anaimba kuhusu starehe na alikuwa anaishi kwa kufanya starehe sana na hata hadi anakufa alikufa mazingira yenye viashiria vya starehe. anachokiimba Ni fikirishi sana na watanzania hawapendi kufikiria,hivyo nina uhakika mziki wake haumlipi kama unavyowalipa hawa wanaoimba paka mate iteleze , ni kama namhurumia huyu Dogo,napatwa na hofu asije pata kiharusi kwa stress , there is no way akafanikiwa kwa anachokiimba
 
"Huna unachomiliki zaid ya application ya mange"hii verse Ina ma bleach kama imeandikwa na pacome...yuko vzur
 
Nipo njiani from tunduru nachapa gia , Dereva wangu anacheza nyimbo za hip hop ,

Kilichonishitua ni huyu msani anaitwa NACHA aisee Kila nyimbo yake anaimba vitu serious Sana,

Kwa wale mnaofahamu je anaishi anachokiimba kama alivyokuwa msanii Bora wa muda wote wa bongo flour Albert Mangwair alikuwa anaimba kuhusu starehe na alikuwa anaishi kwa kufanya starehe sana na hata hadi anakufa alikufa mazingira yenye viashiria vya starehe. anachokiimba Ni fikirishi sana na watanzania hawapendi kufikiria,hivyo nina uhakika mziki wake haumlipi kama unavyowalipa hawa wanaoimba paka mate iteleze , ni kama namhurumia huyu Dogo,napatwa na hofu asije pata kiharusi kwa stress , there is no way akafanikiwa kwa anachokiimba
Tupia huo wimbo mkuu!
 
Hip Hop hailipi.abadilishe upepo apige mkwanja,shauri yake akilewa sifa za wabongo eti we_mkali ilhali mfukoni hakuna kitu,itakula kwake.
 
Back
Top Bottom