Huyu msanii Nas B alipotelea wapi!?

Huyu msanii Nas B alipotelea wapi!?

blogger

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2012
Posts
12,112
Reaction score
15,060
Aliimba Dua la Kuku, aliimba huko pamoja records..
I have a story with him.
images (1).jpeg

Anybody.. p'se..
 
Kabisa..
Em tupe connection ya Dj Arungu atuambie huyu jamaa kapotelea wapi!?
Angalia comment namba 10,nenda kamtafute mwenyewe Instagram.

Pia jamaa haitwi Dj arungu,jina lake ni Djalo Alungu. Now ni mkurugenzi kwenye Redio mpya ya vijana iliyoanzishwa na TBC chini ya mkurugenzi Ayoub Ryoba. Redio inaitwa Bongo fm.
 
Hawa ndo wasanii wa Dijaro arungu

Nas B,
Endru G,
Chief maker
Best naso
Mataluma


Na wengine nimewasahau, Nas B anangoma nyingi kali,nimezisahau majina.

Kuna jamaa Endru G anangoma yake kafanya na Barnaba inaitwa scola ,ngoma kali sana,

Sent from my SM-A235F using JamiiForums mobile app
🎙️
Scola ×2
mbona unanitesa,
Furaha yangu unaiweka nyuma,
Nakosa Raha.
 
Hawa ndo wasanii wa Dijaro arungu

Nas B,
Endru G,
Chief maker
Best naso
Mataluma


Na wengine nimewasahau, Nas B anangoma nyingi kali,nimezisahau majina.

Kuna jamaa Endru G anangoma yake kafanya na Barnaba inaitwa scola ,ngoma kali sana,

Sent from my SM-A235F using JamiiForums mobile app

Huyo best naso na chief maker wa rock city ni kama walikuwa na hisa pale tbc fm kwa Djaro Arungu
 
Aliimba Dua la Kuku, aliimba huko pamoja records..
I have a story with him. View attachment 2921885
View attachment 2921887 Anybody.. p'se..
Nas B ni mtayarishaji wa muziki (produsa), hata huo wimbo alijirekodia mwenyewe. Amefanya production ya nyimbo nyingi za injili, za kina Bon Mwaitege kama sikosei na wengine.

Nafikiri kwa sasa amejikita kwenye utayarishaji muziki
 
Back
Top Bottom