Huyu msanii Nas B alipotelea wapi!?

Anyway.. ila huyu mwamba ajitahidi arudi kwenye game.
Alikuwa na Content nzuri sana, za kuelimisha.
Nilikuwa nikimfananisha na 50%
 
Nyimbo alizokuwa akizicheza Djiaro kwa media zingine kuziskia ni mbinde sana.

Alikuwa ancheza vinyimbo flani ivi vya ki local hatari.
Mbona alikuwa anapenda sana hizo Bongo flavour za kijijini
 
kuna moja aliitoa na 20% inaitwa ' ng'ombe wa maskini hazai '
 
Una kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…