Huyu msichana anaitwa nani? Mwenye contacts zake anipatie

King Kong III

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Posts
56,205
Reaction score
79,515
Umofia wana JF,

Kuna Demu yupo kwenye tangazo la na Like asubuhi na Airtel,Yule msichana anafanya mazoezi katinga pedo ya njano na blauzi nyekundu,aisee kajaaliwa neema za alah na mahaga ya kutosha,natural color,kuna project nataka kufanya naye.
 
Anaitwa Mariam Alias Mamu.
Airtel1.png

Airtel2.png

Airtel3.png
 
Umofia wana JF,

Kuna Demu yupo kwenye tangazo la na Like asubuhi na Airtel,Yule msichana anafanya mazoezi katinga pedo ya njano na blauzi nyekundu,aisee kajaaliwa neema za alah na mahaga ya kutosha,natural color,kuna project nataka kufanya naye.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji102] [emoji102]
 
Unataka tutukanwe
Kumbe mpo wengi
Umofia wana JF,

Kuna Demu yupo kwenye tangazo la na Like asubuhi na Airtel,Yule msichana anafanya mazoezi katinga pedo ya njano na blauzi nyekundu,aisee kajaaliwa neema za alah na mahaga ya kutosha,natural color,kuna project nataka kufanya naye.

Cheki na Airtel customer service mkuu. Piga 100 watakuunganisha.

Ni pm nko naye
 
Umofia wana JF,

Kuna Demu yupo kwenye tangazo la na Like asubuhi na Airtel,Yule msichana anafanya mazoezi katinga pedo ya njano na blauzi nyekundu,aisee kajaaliwa neema za alah na mahaga ya kutosha,natural color,kuna project nataka kufanya naye.
Mengi yanaanziaga kwenye project
 
Mimi nataka contact ya yule demu kwenye wimbo wa Wiista- Naiye. NilimPM Wiista Iakini naona hajajibu mpaka leo.
 
Back
Top Bottom