Huyu msichana kaniacha ila ana-like picha zangu za Instagram

Hiyo mbna kawaida tuu, mie kuna mtu nlimbwaga, alafu nilikuwaga nalike picha zake lakini nilikuwaga sick comment, yeye akawa anafikiria namtaka tena kumbe waap, kuachana sio uadui

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…