huyu mtambuzi vipi leo....?

huyu mtambuzi vipi leo....?

Status
Not open for further replies.

Mwana JF

Member
Joined
Jul 27, 2012
Posts
26
Reaction score
1
mbona ijumaa ya leo hajaweka kesi yoyote....? Mi nasubiri hadi muda huu cjui kapatwa na nini leo.
 
Kaka Mtambuzi anza kula vichwa sasa, una clientele ya kutosha..
 
Last edited by a moderator:
Hata mimi huwa nasoma zile kesi ijumaa jioni nikitoka zangu kuingiza ridhiki.
Nmecheck nikakuta hijabandikwa roho imeniumaje?
 
Umeonae? Niliandika hapa wengine wakajitia eti Mtambuzi ni nani?Ndo huyo anayegusa kila mtu kwa mada anazoziandika.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom