Habari wanafamilia JF.
A couple of days back, I was watching some local news streams... nikawa namuona several times... and I was like ooh huyu binti why nisim-link to BBC Swahili or MTV Base S.A to scale-up her career.
View attachment 594759
Ila nikawa na maswali kichwani mwangu...
- Marital status yake ipoje?
- Je, 'anatema yai' vizuri bila kulowa jasho, au ni mtu wa 'the' na 'actually' nyiiiingi kila baada ya maneno mawili?
- How can you rate/rank her character?
Kimsingi, ningependa awe my step sister... pia asimamie miradi yangu kadhaa local and/or international ones.