fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,617
- 8,244
Ulitaka aanzishe kamba?Kwa hiyo ukaamua uanzishe uzi?
Ulitaka aanzishe kamba?
ndioKwa hiyo ukaamua uanzishe uzi?
sio kuanzisha kamba awataje majina hao wachezaji sio kusema anao huyu anao yule kwani watazamaji pamoja na kwamba wanauona mechi lakini akitaja majina ya wachezaji inaleta ladhaUlitaka aanzishe kamba?
sasa kama tv sio redio mbona wachezaji wa azam alikuwa anawataja majina kwani hakujua kuwa hiyo si redio?"Unapigwa kule".... Kaka Tido waambie kuwa tunaona! Hiyo si radio!
sio kuanzisha kamba awataje majina hao wachezaji sio kusema anao huyu anao yule kwani watazamaji pamoja na kwamba wanauona mechi lakini akitaja majina ya wachezaji inaleta ladha
Sasa balaa kwa hao wachambuzi wao, haki ya nani Mapinduzi Cup kuna vioja kwa upande wa Azam tv, Jana wakati wa mapumziko game ya Simba Vs URA mtangazaji akamuuliza swali mchambuzi, hivi unadhani kuna haja ya kocha wa ura kufanya Sub!!!!!! Jibu la mchambuzi, Mimi naona hakuna haja ya kufanya sub kwa sababu wachezaji wazuri ni wale wanaoanza mchezo lakini mara nyingi sub haiwezi kuleta mabadiliko katika mchezo.Huyu mtangazaji wa Azam tv anayetangaza mpira baina ya Simba na URA ni hovyo hawezi kuwataja wachezaji wa URA anaishia kusema haya unapigwa kule mbele mpira, unapelekwa kule mbele, unapandishwa kule juu sasa mpira umeanza kwa taratibu yaani anaudhi.
Kuna yule mtangazaji Twalib Omary huyu jamaa usiombe atangaze mechi kati ya Yanga na timu yoyote ile unaweza ukatoa saut kabisa, Afadhali kidogo Hassan Mvula namuelewa anapotangaza mpira.Yani me wananiuzi watangazaji wa mapinduzi cup kama mpira hawaujui vile.....
Huyu Mvula ndo zake sijui hua anakula maharage ya wapi huyuHuyu mtangazaji wa Azam tv anayetangaza mpira baina ya Simba na URA ni hovyo hawezi kuwataja wachezaji wa URA anaishia kusema haya unapigwa kule mbele mpira, unapelekwa kule mbele, unapandishwa kule juu sasa mpira umeanza kwa taratibu yaani anaudhi.
NILIKUWA SIJACHEKA LEOUlitaka aanzishe kamba?
Unajua msingi wa kumkosoa mvula na wengine watangazaji ni kuwaonesha udhaifu wao ulipo ili wajirekebishe,popote pale duniani iwe unatangaza kwenye redio au tv ni lazima utataje majina ya hao wachezaji,zile taatifa nyingine na historia ya wachezaji na uwezo wso na upungufu wao ni secondary information.Hatuna nia ya kuwakandya kwa dharau la hasha kwani hatahivyo wamejaribu kuonesha ubora na ujuzi wao.Sio kwamba hawana kitu kabisa wanao ubora fulani sasa ni kuongeza bidii na vifaa,kwa mfano wawe na darubini za kuangalia mchezo,kompyuta na mixers za sautii na pichaNILIKUWA SIJACHEKA LEO
We nawe hata hujanielewa. Kichwa chako kizito kwelisio kuanzisha kamba awataje majina hao wachezaji sio kusema anao huyu anao yule kwani watazamaji pamoja na kwamba wanauona mechi lakini akitaja majina ya wachezaji inaleta ladha
Huyu mtangazaji wa Azam tv anayetangaza mpira baina ya Simba na URA ni hovyo hawezi kuwataja wachezaji wa URA anaishia kusema haya unapigwa kule mbele mpira, unapelekwa kule mbele, unapandishwa kule juu sasa mpira umeanza kwa taratibu yaani anaudhi.