Huyu Mtanzania ana ujasiri usio wa kawaida, wabongo bana

Huyu Mtanzania ana ujasiri usio wa kawaida, wabongo bana

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
https://mahimeta.com/videoads/video_playback.mp4

Kutoka Mtwara huko Newala Mwanaume akata uume wake na kidole cha shahada cha mkono wa kushoto kisa anataka kumtumikia Mungu...!!! kwa habari zaidi usikose #hekaheka ya leo ifikapo sita na nusu hadi saba kamili mchana #leotenacloudsfm :
Subcribe Youtube channel #Geahhabibu
 
Sasa huyu si angetusaidia kutungua mywether Kwa sniper!!!
Aaah watu wengine banaaa!!!
 
Back
Top Bottom