Huyu mtoto Hasara kweli

Bonesmen

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2016
Posts
929
Reaction score
992
Mwalimu kamuuliza mtoto kati ya baba na mama nani shujaa.
Mtoto kajibu wote woga. Mwalimu, kwanini?
Mtoto akajibu :Baba akisafiri mama analala na mlinzi.
Mama akisafiri baba analala na dada (house girl).Wote wanaogopa kulala peke yao.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji23] [emoji122]
 
Mwalimu kamuuliza mtoto kati ya baba na mama nani shujaa.
Mtoto kajibu wote woga. Mwalimu, kwanini?
Mtoto akajibu :Baba akisafiri mama analala na mlinzi.
Mama akisafiri baba analala na dada (house girl).Wote wanaogopa kulala peke yao.
Mtoto amemwaga madini, noma. 😛😛
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…