Huyu mtu tena

Acha wanakuja kukushambulia sasa hivi mkuu makolokolo!
 
Hivi Viposti vyake vinamshusha thamani huyu jamaa, anajianika Kuwa thinking Capacity yake ni ndogo sana.... ! Inashangaza kuwa na yeye kuna kipindi aliutaka Uraisi Wa TFF.
 
Wengine wanamfurahia sana akiizodoa Yanga. Leo kwao
Hivi Viposti vyake vinamshusha thamani huyu jamaa, anajianika Kuwa thinking Capacity yake ni ndogo sana.... ! Inashangaza kuwa na yeye kuna kipindi aliutaka Uraisi Wa TFF.
 
Hivi Viposti vyake vinamshusha thamani huyu jamaa, anajianika Kuwa thinking Capacity yake ni ndogo sana.... ! Inashangaza kuwa na yeye kuna kipindi aliutaka Uraisi Wa TFF.
Oscar afanyaga masihara tu,kama kuna mtu anamchukulia serious yeye ndo atapata taabu.

Ni aina yake ya masihara,ndo maana kuna muda hujui anaponda au anasifia,au yupo Yanga au Simba.
 
Anafanya masihara tu Instagram ila kwenye kipindi akichambua utadhani siyo yeye. Bado sijajua upande wake maana kila upande yupo na anashambulia kila upande vile vile.

But mi posts zake zinanifurahisha
 
Hivi Viposti vyake vinamshusha thamani huyu jamaa, anajianika Kuwa thinking Capacity yake ni ndogo sana.... ! Inashangaza kuwa na yeye kuna kipindi aliutaka Uraisi Wa TFF.
Anajichetua makusudi ili kupata attention ya watu km wewe na kwa hilo namsifu amewakamata watu wengi sana
 
Huyo nae kama mchepuko tuu kambi popote
 
Anafanya masihara tu Instagram ila kwenye kipindi akichambua utadhani siyo yeye. Bado sijajua upande wake maana kila upande yupo na anashambulia kila upande vile vile.

But mi posts zake zinanifurahisha
Uyo yanga lialia.na hajifichagi.alifukuzwa kazi Azam kwa sababu ya game ya Azam na yanga.azam ilipopata Gori.alijisahau akashangilia mbele ya ma boss[emoji16][emoji16].NI YANGA LIA LIA UYO
 
Hivi Viposti vyake vinamshusha thamani huyu jamaa, anajianika Kuwa thinking Capacity yake ni ndogo sana.... ! Inashangaza kuwa na yeye kuna kipindi aliutaka Uraisi Wa TFF.
Simwelewagi huyu jamaa
 
Uyo yanga lialia.na hajifichagi.alifukuzwa kazi Azam kwa sababu ya game ya Azam na yanga.azam ilipopata Gori.alijisahau akashangilia mbele ya ma boss[emoji16][emoji16].NI YANGA LIA LIA UYO
Rudia kusoma comment yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…