Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu,
Kuna huyu mtumishi hapa kaandaa maombi kwa watumishi wa umma ili waweze "Kudumu kwenye nafasi zao" eti katikati ya vita.
Tayari hapa ameshawaandaa kisaikolojia kuwa kazini kwako kuna mtu/watu wanakuwekea kauzibe, kuna watu wanakuroga, kuna watu wanakuwekea mavitu sehemu yako safari zikija anaenda mwingine we huonekani umewekewa kiwingu, etc, ect.
Kibaya ni kwamba watamwamini asilimia kubwa wakiwa ni wanawake (wanaume mara chache kuamini huu upuuzi), na kila watakachoambiwa na chuki watakayobebeshwa watabeba.
Kitachotokea ni kutengeneza mtafakaruku kati yao and worse wanaweza kuwekeana vitu kwenye vinywaji mtu akadhurika mambo yakaharibika zaidi.
Suala hili linatakiwa kukemewa mara moja kabla hatujafika huko.