Huyu Mugabe anawaza nini hapa?

"Ama kweli Mungu wewe ni kabila letu. Nawanyanyasa
hawa watu na bado nipo nipo tu mamalakani!!!"
... akasema Mugabe
 
kashangaaa ma baroon zimerushwa angani zikisema umefikifasha miaka 86.sasa Mugabe umri umetimia sasa uwapishe wenzio
 
Mi naona kama ile video ya kalayi boeing ya Wenge Musica!!!
 
AAma kweli umri umenitupa mkono|!........anawaza!
 
Jongwe anawaza 'ee Mola nipe umri zaidi niwatumikie watu wangu'
 
Anawaza mana zitadondoka kutoka mbinguni.
 
eeh mungu mbona umri unakimbia hivi?niongezee japo vimiaka 30 tu niendelee kukandamiza raha duniani,ukizingatia mke wangu bado sa sita mchana.na uprezidaa wa maisha ninao
 
Acheni fitna muzee anang'aaa kwanini mtu usile vzuri bwana..."anawaza-duh kama kungekuwa hakuna kufa ...........
 
Anaiona Dunia inataka kumporomokea. Imebidi ashike mikono aanze kusujudu.
 
Mugabe hataki kuondoka madarakani labda kifo ndo kitamuondoa !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…