demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,292
- 15,250
Nimekuwa nikiunga mkono kushushwa daraja kwa hawa wapuuzi Mbeya City ila kitendo alichofanya yule jamaa ni uhuni mtupu.
Huwezi kumpiga ngumi kocha wa timu pinzani, ni ukosefu wa nidhamu kwa mchezo wa soka ni nchini tanzania.
Hapa TFF wala msipepese macho.
Ligi ilikuwa imeanza kugain heshima ndani na nje ya mipaka, hatuwezi kuruhusu muhuni aliyeshiba mihogo ya mawese aendelee kuwa kaatika eneo la ndani kabisa la soka letu.
AFUNGIWE.