Huyu Muhuni Aliyempiga Ngumi Kocha wa Mbeya City Afungiwe Maisha

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,292
Reaction score
15,250
Nimekuwa nikiunga mkono kushushwa daraja kwa hawa wapuuzi Mbeya City ila kitendo alichofanya yule jamaa ni uhuni mtupu.

Huwezi kumpiga ngumi kocha wa timu pinzani, ni ukosefu wa nidhamu kwa mchezo wa soka ni nchini tanzania.

Hapa TFF wala msipepese macho.

Ligi ilikuwa imeanza kugain heshima ndani na nje ya mipaka, hatuwezi kuruhusu muhuni aliyeshiba mihogo ya mawese aendelee kuwa kaatika eneo la ndani kabisa la soka letu.

AFUNGIWE.
 
Hahaaa, eti jamaa kashiba Mihogo na Mawese. Ni kweli jamaa kafanya kitu cha hovyo na kishamba sana. Ni kweli afungwe.
 
Mbombo ngafu
 
Kanuni zipo wazi. Kama kampiga mwenzake atalimwa maisha.
 
Wanajeshi wengi akili ziko mikononi kichwani ni weupe.
 
Bado Wana ushamba wa kigoma hawajuwi ligi kuu ni mjini.
 
Alivyo mjinga labda anajua hakuna camera imemnasa!

Huyo hafai kuingia hata viwanjani milele,hapakuwa na sababu yoyote ni bangi tu.
 
Yule kocha ana maneno machafu, uwezi fahamu alimfanya nini jamaa mpaka akahamua kumpiga
 
hoja naiunga mkono
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…