kweli wanaume hawana shukrani .binti kaamua kulitunza lizee hili akaacha kula ujana wake lizee lenyewe halitulii...loh!
Utakulaje maharage kila siku bana? Unabadili leo kisamvu kesho bilinganya kesho kutwa matembelekweli wanaume hawana shukrani .binti kaamua kulitunza lizee hili akaacha kula ujana wake lizee lenyewe halitulii...loh!
Mapenzi hayachagui mdogo wangu hujui alimpendea nini mzee wa watu.kweli wanaume hawana shukrani .binti kaamua kulitunza lizee hili akaacha kula ujana wake lizee lenyewe halitulii...loh!
kama mwanamke hanyanyaswi na anatunzwa vizuri
sasa ya nini kujipa presha?
si na yeye atafute kidumu pembeni yaishe?
wajenge familia kwa kuigiza like the rest??????
Nimeipenda hii,
ila vp kuhusu kale mtandao ka ngono...
hapo umenena mkuu? ..ajilie tunda pembeni..alee familia na maisha yaendelee...mfupa uliomshinda fisi binadamu atauwezea wapi??????????/kama mwanamke hanyanyaswi na anatunzwa vizuri
sasa ya nini kujipa presha?
si na yeye atafute kidumu pembeni yaishe?
wajenge familia kwa kuigiza like the rest??????
hapo umenena mkuu? ..ajilie tunda pembeni..alee familia na maisha yaendelee...mfupa uliomshinda fisi binadamu atauwezea wapi??????????/
umeipenda?
hebu ni pm labda naweza kukusaidia zaidi
mtandao hauepukiki
dawa ni condom na kupima tu
we waonaje?
mtafutie dawa
wana dawa nasikia lol
The Boss hivi kumbe wanawake hua wanang'ang'ania ndoa zao ili wapate matunzo na sio kwa sababu ya mapenzi??na hayo maigizo mwisho wake sio virusi??kazi ipo!:flypig:kama mwanamke hanyanyaswi na anatunzwa vizuri
sasa ya nini kujipa presha?
si na yeye atafute kidumu pembeni yaishe?
wajenge familia kwa kuigiza like the rest??????
kweli wanaume hawana shukrani .binti kaamua kulitunza lizee hili akaacha kula ujana wake lizee lenyewe halitulii...loh!
Kiukweli sie wadada mara nyingine tunajitakia haya mambo, mi nnachojua mara nyingi wewe kama mwanamke ukikubali kua na mume basi ujue ukubali haya yanayotoke. Maana kama aliweza kumuacha mkewe na kukufuta wewe na wewe ukaona ndo umepata basi itabidi ukubali tu zamu yako imepita waachie wengine. Hiyo ndio rule of the game. Maaana mke wa kwanza alikuachia wewe na wewe inabidi umuachie mwenzio wala usoine nyongo bi dada. what comes around goes around