Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CCM ni ile ile x 4
Ingelikuwa vizuri ungeweka hapa ushahidi wa nini takukuru waligundua kwenye yale mahojiano. Mfano watuhumiawa walihusika vipi? Mmoja mmoja ungelichambua.Huu upendeleo unaoendelea nchini si mzuri unakusanya hasira ndani yetu mdogo mdogo. Huyu upelelezi ulishakamilika kwa mujibu wa Takukuru ila kwanini bado anadunda mtaani huku wengine wanasota rumande japo upelelezi haujakamilika.
Hiyo sio kazi yangu wao kama wanaona hana kesi waje watueleze tena kwa mbwembwe zile zile walizotumia kumzushiaIngelikuwa vizuri ungeweka hapa ushahidi wa nini takukuru waligundua kwenye yale mahojiano. Mfano watuhumiawa walihusika vipi? Mmoja mmoja ungelichambua.
Pia tambua Dpp huwa hakurupuki hovyo kwenda mahakamani.
Kama sio kazi yako mbona unasema kuna upendeleo. Kaa kimya ukweli kuhusu Chadema ufumuliwe.Hiyo sio kazi yangu wao kama wanaona hana kesi waje watueleze tena kwa mbwembwe zile zile walizotumia kumzushia
DPP huwa anakurupuka kwenye zile kesi uchwara ambazo leo yule anayebambikiwa kesi anapewa shitaka hili kisha kesho anapewa shitaka lingine tofauti.Ingelikuwa vizuri ungeweka hapa ushahidi wa nini takukuru waligundua kwenye yale mahojiano. Mfano watuhumiawa walihusika vipi? Mmoja mmoja ungelichambua.
Pia tambua Dpp huwa hakurupuki hovyo kwenda mahakamani.