Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Wasimamizi wa kula wasaidizi wapo,kwa wanachukua chako mapema hakuna kinachoshindikana,uwe tu ni chaguo la ama mwenye kifua chembamba au kifua kipana.Nasikia mpaka sasa anapiga jalamba chinichini.
Ametoa gari mbili ili kusaidia watu wakifiwa kusafirisha maiti toka Hospitali ya wilaya kwenda kuzika makwao kama.wakifiwa Moja ni Hilux Nyeusi.
Je ataweza huu mkikikimkiki? Maana nasikia Kalemani, Katwale, Sende na Wababe wa Chato wapo kwenye kinag'anyiro.
Mussa Magege inasemekana baba yake aliwahi kuwa mwenyekiti wa halmashauri ya B'mulo miaka hiyo Je atafurukuta?
siasa ni kujipanga tu friends, ladies and gentlemen 🐒Nasikia mpaka sasa anapiga jalamba chinichini.
Ametoa gari mbili ili kusaidia watu wakifiwa kusafirisha maiti toka Hospitali ya wilaya kwenda kuzika makwao kama.wakifiwa Moja ni Hilux Nyeusi.
Je ataweza huu mkikikimkiki? Maana nasikia Kalemani, Katwale, Sende na Wababe wa Chato wapo kwenye kinag'anyiro.
Mussa Magege inasemekana baba yake aliwahi kuwa mwenyekiti wa halmashauri ya B'mulo miaka hiyo Je atafurukuta?
Nani kasema?Hilo Jimbo anapewa Jesca Magufuli
Mipango inazidiana.siasa ni kujipanga tu friends, ladies and gentlemen 🐒
Hiyo mitaa inanikumbusha mbali sana mkuu.Mimi nipo kimandolu bwashee
SisiNani kasema?
si hivyo tu bali mipango inatofautiana sana pia,Mipango inazidiana.
Kumbe mpaka zikubaliwe???Rufaa mmekubaliwa hapo Machame?!
Kwakuwa ni nchi ya kifalme sawa.Tuko pamoja na Jesca Magufuli
Nipo mimi jimbo hiloHilo Jimbo anapewa Jesca Magufuli
Tumeshaamua 🐼Nipo mimi jimbo hilo
Huenda anatingisha kiberiti ili akatiwe chake mapema !Nasikia mpaka sasa anapiga jalamba chinichini.
Ametoa gari mbili ili kusaidia watu wakifiwa kusafirisha maiti toka Hospitali ya wilaya kwenda kuzika makwao kamab wakifiwa Moja ni Hilux Nyeusi.
Je ataweza huu mkikikimkiki? Maana nasikia Kalemani, Katwale, Sende na Wababe wa Chato wapo kwenye kinag'anyiro.
Mussa Magege inasemekana baba yake aliwahi kuwa mwenyekiti wa halmashauri ya B'mulo miaka hiyo Je atafurukuta?
Ila nijuavyo baba yake alikuwa hataki kusikia watoto wake wakijihusisha na siasa. Labda kwa vile hayupo inawezekana kwa sasa.Hilo Jimbo anapewa Jesca Magufuli
Siasa siyo jambo la kuhusisha familyIla nijuavyo baba yake alikuwa hataki kusikia watoto wake wakijihusisha na siasa. Labda kwa vile hayupo inawezekana kwa sasa.