Huyu mwalimu mkuu wa shule ya msingi Buguruni "A" tunaomba amulikwe

Huyu mwalimu mkuu wa shule ya msingi Buguruni "A" tunaomba amulikwe

tondoli

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2013
Posts
207
Reaction score
51
Mwalimu mkuu wa shule ya msingi buguruni" a" ameamua kwa makusudi kukodisha kwa mtu binafsi darasa la computer pamoja na computer zilizomo kwa mtu binafsi.

Darasa hilo lilijengwa kwa msaada wa wamarekni kwa ajili ya kufundisha computer watoto wa shule ya msingi hiyo, yeye kwa makusudi ameamua kumkodisha mtu ambaye anafundishia watu wazima.

Kweli wadau hii ni haki kwa watoto wetu.
 
Ndiyo Tanzania ndugu yangu,utashitaki wangapi.Mbona hata kuna xray wanatoa wahisani kwa ajili ya kuhudumia wagonjwa kwenye mahospitali ya serikali then zinapiga mzigo kote kote,yaani wanapanaga J3 mpaka J5 hospitali ya serikali na siku zinanosalia inatumika hospitali za private
 
Back
Top Bottom