Huyu mwamba Konkara namvulia kofia jamaa hatumii nguvu nyingi

Huyu mwamba Konkara namvulia kofia jamaa hatumii nguvu nyingi

Wakuperuzi

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2023
Posts
2,348
Reaction score
5,841
Kuna wachekeshaji mnawaimba sana na komedi zao za kulazimishana kucheka ila kwa huyu mwamba Konkara namvulia kofia jamaa hatumii nguvu nyingi

Pata muda wa kumfuatilia ujionee
picha nawaletea sun
 
Konkara
 
Attachments

  • 20240726_090640.png
    20240726_090640.png
    678.5 KB · Views: 6
Kuna wachekeshaji mnawaimba sana na komedi zao za kulazimishana kucheka ila kwa huyu mwamba Konkara namvulia kofia jamaa hatumii nguvu nyingi

Pata muda wa kumfuatilia ujionee
picha nawaletea sun
Konkara Mzee paah

Jamaa muongo sana 😂
 
Nyinyi watu mnachekeshwa mpaka na Mwijaku, siwezi kuwachukulia serious kabisa
 
Back
Top Bottom