Wakuperuzi
JF-Expert Member
- Mar 31, 2023
- 2,348
- 5,841
AnajuaPromo
Konkara Mzee paahKuna wachekeshaji mnawaimba sana na komedi zao za kulazimishana kucheka ila kwa huyu mwamba Konkara namvulia kofia jamaa hatumii nguvu nyingi
Pata muda wa kumfuatilia ujionee
picha nawaletea sun
HahahKonkara Mzee paah
Jamaa muongo sana 😂