Huyu Mwamba Naona Sasa Ameamua Kuwa Mpenzi wa Klabu ya Chelsea

Huyu Mwamba Naona Sasa Ameamua Kuwa Mpenzi wa Klabu ya Chelsea

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Sura maarufu sana na iliyozoeleka

Nimeikuta hiyo picha sehemu nikaona itapendeza nikiwaletea na nyie muione japo sina uhakika na usahihi wa sura na hiyo jezi

Naambiwa huyu mwamba kumbe asili yake ni Mahuta Newala Mkoani Mtwara

FB_IMG_16191790174366667.jpg
 
Duuh kwa hiyo lindo ndio limekwisha!!?
ila huyu jamaa akijiongeza kidogo anaweza kuja kuwa bonge la celebrity
 
"...the dark one, was died due to covid.....!" Mh. Tundu Antipas Lissu (mgombea urais wa JMT 2020)
 
Hiyo picha ni ya mwaka kama sio 2012 au 2013 au 2011. Nilipitia kwenye profile yake.
 
Ukiangalia hiyo Jersey utagundua ilikua inatumika enzi za akina Didie Drogba na Ashley Cole miaka ile ya 2009 - 2013 hivyo picha hiyo ni ya kitambo kidogo kabla hajakabidhiwa majukumu ya Kitaifa.

Kwahiyo kama ushabiki huenda alikuwa shabiki wa Chelsea kitambo.

By the way, tunashukuru kwa kazi yake iliyotukuka kipindi cha Mwendazake 👏👏👏👏
 
Back
Top Bottom