Hyrax
JF-Expert Member
- May 20, 2023
- 964
- 2,675
Leo jumapili safi nikiwa natafakari wiki inayofuata nikaingia mtandaoni kuokota mambo mbalimbali kushibisha ubongo nikakutana na hii ngoma ya mwamba anaitwa KING KAKA ngoma inaitwa BESTE YANGU ukisikiliza kwa makini hii ngoma jamaa ana zaidi ya uwezo wa kurap yaani ana uwezo wa kufanya nafsi yako kuwa na endless swing feelings, hebu download hili dude halafu uitupie kwenye spika zako usikilizie utamu wa mawimbi haya masikioni mwako!! good vibessssssssssssssssssssss!