Huyu mwamba yuko wapi siku hizi?

Huyu mwamba yuko wapi siku hizi?

Vichekesho

Member
Joined
Jun 20, 2024
Posts
66
Reaction score
3,277
Enzi za mpambanaji Luhaga Mpina, huyu jamaa alitrend sana, ningependa kufahamu mahali alipo sasa.
FB_IMG_1719597781591.jpg
 
Zama za Giza...hayo ndiyo yalikuwa maagizo ya waziri wake Mpina!,.kuna ndugu yangu aliukana mzigo wake wa Samaki kama siyo wake....
 
Back
Top Bottom