Huyu mwamuzi wa Mechi kati Geita Gold na Singida Big Stars hajitambui

Huyu mwamuzi wa Mechi kati Geita Gold na Singida Big Stars hajitambui

Bila bila

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2016
Posts
22,168
Reaction score
39,118
Inakuwaje mwamuzi wa ligi Kuu anawaonyesha Kadi za njano Wachezaji 2 àmbao hawakufanya makosa? Yaani kosa anafanya mwingine Kadi anaonyeshwa mwingine?

Kelvin Yondan na Juma Mahadhi wameonyeshwa Kadi za njano wakati hawakuhusika kwenye matukio.

Waamuzi wa TFF mnaboa mpaka mnakera.
 
Ni shabiki la utopolo,kwa vile hao Singida ni Utopolo junior hawawezi kulalamika,na kwa hiyo walistahili tu
 
Nadhani bongo hatuchezi football wanayo cheza wengine huko duniani yaani jamaa kamdandia mchezaji wa Singida ndani ya box refa ana jiafanya haoni
Watakuja wale wachambuzi chakula cha waarabu wana misemo yao kama vile " mgongano wa kawaida" au "mwamuzi alitafsiri ile sio penalty ndio maana kuna VAR" au "mchezaji wa Singida alijirusha akijaribu kumdanganya mwamuzi na alistahili kadi"

Lengo la kutetea mwamuzi ni kwa vile analinda maslahi ya position ya utopolo.
 
Ifike mda tuongee fact nje ya ushabiki
 
Ifike mda tuongee fact nje ya ushabiki
Nimeleta mada yangu haikuwa hata na chembe ya ushabiki. Nashangaa Mtu anadandia sijui na Utopolo sijui Makolo. Mimi naongelea weledi wa mwamuzi na kama Mtu anataka huo ushabiki wa Kariakoo alipaswa kuanzisha Uzi wake.
 
Watanzania wengi ni wapumbavu Sana.Bora wangekuwa wajinga,mjinga ni mtu hajui akijulishwa ujinga unaisha. Mpumbavu hushupaza shingo, hataki kuelewa hata akieleweshwa. Watanzania wengi hawajui kwamba hawajui.
 
Back
Top Bottom